Ushauri wa Kilimo
Kila zao lina mahitaji yake — aina ya udongo, mbolea, umwagiliaji na udhibiti wa wadudu. Timu yetu ya wataalamu wa kilimo ipo tayari kukusaidia:
- Kuchagua mbegu bora zinazofaa eneo lako na msimu
- Kupanga matumizi sahihi ya mbolea kulingana na zao na hatua ya ukuaji
- Kutambua wadudu na magonjwa na kupendekeza dawa sahihi
- Kupanga ratiba ya upandaji na palizi
Tembelea duka letu, tupigie simu au tuandikie WhatsApp — ushauri ni bure kwa wateja wote.