
Pembejeo Bora,
Mavuno Bora, Maisha Bora
Wauzaji wa pembejeo za kilimo na mifugo zenye ubora wa hali ya juu kwa wakulima wote Tanzania.
- Bidhaa halisi zilizosajiliwa
- Delivery Tanzania nzima
- Ushauri wa kitaalamu bure
Tumesajiliwa na kudhibitiwa na
- TFRATanzania Fertilizer Regulatory AuthorityUdhibiti wa ubora wa mbolea
- TPHPATanzania Plant Health and Pesticides AuthorityUdhibiti wa viuatilifu na afya ya mimea
- TOSCITanzania Official Seed Certification InstituteUthibitishaji wa mbegu bora
- BRELABusiness Registrations and Licensing AgencyUsajili wa kampuni na leseni za biashara
Tunauza Bidhaa za Makampuni Yanayoaminika
Tunashirikiana na wazalishaji na wasambazaji wakubwa wa pembejeo
Makampuni 45 tunayoshirikiana nayo
Bidhaa Bora
Bidhaa halisi zenye ubora wa hali ya juu
Ushauri wa Kitaalamu
Wataalamu wetu wako kukusaidia kila siku
Bei Nafuu
Bei nafuu na za ushindani kwa msimu wote
Usafirishaji Haraka
Tunafikisha bidhaa kwa haraka popote
5000+
Wateja Wenye Furaha
600+
Bidhaa Bora
4
Matawi Tanzania
5+
Miaka ya Uzoefu
Bidhaa Zetu
Chagua kundi la bidhaa unazohitaji
OFA MAALUM YA MSIMU
Pata punguzo kwenye mbolea na mbegu zilizochaguliwa!
JISAJILI KAMA MKULIMA
Jiunge na maelfu ya wakulima na upate huduma bora na taarifa muhimu.
Bidhaa Bora
Bidhaa halisi zenye ubora wa hali ya juu
Ushauri wa Kitaalamu
Wataalamu wetu wako kukusaidia kila siku
Usafirishaji Haraka
Tunafikisha bidhaa kwa haraka popote
Malipo Salama
Lipa kwa usalama kupitia Selcom na Mobile Money
Huduma kwa Wateja
Tupo hapa kwa ajili yako kila wakati
Bidhaa Maarufu
Angalia Zote
GLORIA F1 - 50gm
TZS 82,000
GreeNil(720SC)- 1litre
TZS 24,000
T3 MAGUGUMA(BLUE)- 1Litre
TZS 23,000
Super Cal(45)- 1Litre
TZS 21,000
AgriPro(175SC)- 1Litre
TZS 55,000
IMARA F1 - 10gm
TZS 110,000
NPS Zn(OCP Fertilizer) - 50kg
TZS 90,000
MERU SUPER - 1kg
TZS 190,000Makala Mpya
Angalia Zote
9SepUmuhimu wa Watu Kujiandaa na El Niño
Kilimo bora huanza na maandalizi bora.
Soma Zaidi →
7AgoJinsi ya Kulima Nyanya Bora na Kupata Mavuno Makubwa
Vidokezo muhimu vya kulima nyanya kwa faida: kuchagua mbegu, kuandaa kitalu, kupandikiza na kukinga magonjwa.
Soma Zaidi →
3AgoUmuhimu wa Matumizi ya Mbolea Sahihi kwa Mazao Yako
Mbolea siyo zote zinafanana. Jifunze tofauti ya mbolea za kupandia na za kukuzia, na jinsi ya kuzitumia kwa usahihi.
Soma Zaidi →
30JulLishe Bora kwa Kuku wa Mayai na Nyama
Chakula ni asilimia 70 ya gharama za ufugaji wa kuku. Jifunze kulisha kwa usahihi kila hatua ya ukuaji.
Soma Zaidi →
Chat na sisi moja kwa moja
Tupo hapa kukusaidia! Wasiliana nasi kupitia WhatsApp kwa maswali, oda au ushauri.
Wateja Wetu Wanasema
“Nimekuwa nikinunua mbegu na mbolea CHETU kwa misimu mitatu. Mavuno ya nyanya yameongezeka maradufu, na ushauri wao wa bure ulinisaidia kudhibiti ukungu mapema.”
Joseph Mushi
Moshi, Kilimanjaro
“Huduma yao ni ya haraka sana. Niliagiza mbolea kwa simu asubuhi, ikafika shambani kwangu jioni hiyo hiyo.”
Neema Kimaro
Hai, Kilimanjaro
“Dawa zao ni halisi na bei ni nafuu kuliko maduka mengine. Wataalamu wanaeleza vizuri jinsi ya kutumia na tahadhari za usalama.”
Baraka Shirima
Lushoto, Tanga
Tufuate kwenye Mitandao ya Kijamii
Pata elimu, updates, ofa na matukio mbalimbali kupitia kurasa zetu

























































