+255 741 348 284
|
CHETU AGROSOLUTION logo

Ufuatiliaji wa Mashamba

Kwa wakulima wa mazao ya biashara, tunatoa huduma ya kutembelea mashamba:

  • Ukaguzi wa afya ya mazao na utambuzi wa matatizo
  • Ushauri wa papo kwa papo shambani
  • Mpango wa mbolea, dawa na umwagiliaji kwa msimu mzima
  • Ufuatiliaji wa mara kwa mara hadi mavuno

Huduma hii inapatikana Kilimanjaro, Tanga na maeneo ya jirani. Wasiliana nasi kupanga ziara.

Omba Huduma Hii