Mafunzo kwa Wakulima
Tunaendesha mafunzo kwa vikundi vya wakulima, vyama vya ushirika na mashamba makubwa:
- Kilimo bora cha nyanya, vitunguu, kabichi na mboga nyingine
- Matumizi salama na sahihi ya viuatilifu (PPE, vipimo, muda wa kusubiri)
- Kilimo cha kisasa: mbegu chotara, umwagiliaji wa matone, chafu (greenhouse)
- Ufugaji bora wa kuku wa nyama na mayai
Wasiliana nasi kupanga mafunzo kwenye kijiji au kikundi chako.