+255 741 348 284
|
CHETU AGROSOLUTION logo

Delivery ya Bidhaa

Huna haja ya kusafiri mwendo mrefu kufuata pembejeo. Tunapokea oda kwa:

  • Tovuti yetu — chagua bidhaa, weka oda, lipa ukipokea au kwa simu
  • WhatsApp / simu: +255 741 348 284

Moshi na maeneo ya jirani tunafikisha ndani ya saa 24–48. Mikoa mingine kupitia mabasi na wasafirishaji wa mizigo ndani ya siku 2–5. Bidhaa zinafungwa kwa usalama na unapokea namba ya kufuatilia.

Omba Huduma Hii