+255 741 348 284
|
CHETU AGROSOLUTION logo

Ushauri wa Mifugo

Ufugaji wenye tija unahitaji lishe bora, kinga za magonjwa na matunzo sahihi. Tunakusaidia:

  • Kupanga ratiba ya chanjo kwa kuku (Newcastle, Gumboro) na mifugo mingine
  • Kuchagua dawa za minyoo na viuatilifu sahihi
  • Kupanga lishe bora na virutubisho (vitamini, madini)
  • Kutambua dalili za magonjwa mapema

Kwa matatizo makubwa ya afya ya mifugo, tutakuunganisha na daktari wa mifugo.

Omba Huduma Hii