Makala mpya za kilimo, ufugaji na teknolojia
Tanzania ina maeneo mengi yanayofaa kwa viazi mviringo, hasa maeneo yenye hali ya hewa ya baridi na miinuko. TARI inaeleza maeneo mbalimbali yanayozalisha viazi mviringo kama Mbeya, Rungwe, Njombe, Makete, Mufindi, Mbinga, Sumbawanga, Uluguru, Usambara, West Kilimanjaro, Arusha, Manyara na maeneo mengine yanayofaa.