Makala na Habari
Makala mpya za kilimo, ufugaji na teknolojia

KILIMO CHA NYANYA KWA EKARI 1
Viwango vya mbolea vilivyo hapa ni mwongozo wa kitaalamu wa kuanzia. Ratiba ya mwisho inapaswa kurekebishwa kwa kuzingatia soil test, aina ya udongo, aina ya nyanya, mfumo wa umwagiliaji, historia ya shamba na lengo la mavuno. Miongozo ya kitaalamu ya uzalishaji wa nyanya inasisitiza kwamba mbolea ipangwe kutokana na soil test, na nitrogen igawanywe katika applications kadhaa badala ya kuwekwa yote mara moja.
Soma Zaidi →
MAGONJWA YANAYOSHAMBA NYANYA SHAMBANI: DALILI, KINGA NA NAMNA YA KUDHIBITI
Usingoje nyanya ziharibike ndipo uanze kutafuta suluhisho
Soma Zaidi →
KILIMO CHA NYANYA EKARI 1: HATUA KWA HATUA NA RATIBA KAMILI YA MBOLEA
KILIMO CHA NYANYA EKARI 1: HATUA KWA HATUA NA RATIBA KAMILI YA MBOLEA
Soma Zaidi →
Blossom End Rot
Usimamizi mzuri wa maji ni ukuaji wenye afya wa mizizi ni muhimu katika kuzuia Blossom End Rot.
Soma Zaidi →
Jinsi ya Kulima Nyanya Bora na Kupata Mavuno Makubwa
Vidokezo muhimu vya kulima nyanya kwa faida: kuchagua mbegu, kuandaa kitalu, kupandikiza na kukinga magonjwa.
Soma Zaidi →