Makala mpya za kilimo, ufugaji na teknolojia
Mpunga ni zao muhimu sana Tanzania. Wizara ya Kilimo iliripoti kuwa uzalishaji wa mchele ulifikia takribani tani milioni 2.6 mwaka 2024/2025, dhidi ya mahitaji ya tani milioni 1.2. Hii inaonyesha kuwa mpunga ni zao lenye nafasi kubwa katika chakula na biashara.