Makala mpya za kilimo, ufugaji na teknolojia
matumizi ya pembejeo yanapaswa kuzingatia aina ya zao, hatua ya ukuaji, hali ya udongo na mazingira ya shamba.