Elimu ya kilimo na ufugaji kutoka kwa wataalamu wetu
Kidomozi cha nyanya (Tuta absoluta) kinaweza kuharibu shamba zima ndani ya wiki chache. Jifunze dalili na hatua za udhibiti.