Elimu ya kilimo na ufugaji kutoka kwa wataalamu wetu
Magonjwa ya Newcastle na Gumboro huua kuku kwa maelfu. Chanjo kwa ratiba sahihi ndiyo kinga pekee ya uhakika.