+255 741 348 284
|
CHETU AGROSOLUTION logo
mbolea

Mbolea ya DAP (Diammonium Phosphate)

20 Septemba 2026

Mbolea ya DAP (Diammonium Phosphate)

Mbolea ya DAP (Diammonium Phosphate) ni mbolea ya kupandia yenye virutubisho vikuu:

  • Nitrojeni (N): 18%

  • Fosforasi (P₂O₅): 46%

  • Husaidia sana ukuaji wa mizizi, uanzishaji wa mmea na ukuaji wa mwanzo.

  • Hutumika hasa wakati wa kupanda, ikiwekwa karibu na mbegu lakini si kugusisha mbegu moja kwa moja.

Unaweza pata mbolea hizi zote katika ukurasa wetu wa CHETU AGROSOLUTION au kuwasiliana na watoahuduma wetu.
Sambaza:

Bidhaa Zinazohusiana

NAFAKA DAAP PLUS(MINJINGU)- 50Kg

NAFAKA DAAP PLUS(MINJINGU)- 50Kg

TZS 68,000
DAP(TFC)- 50Kg

DAP(TFC)- 50Kg

TZS 85,000

Makala za Karibuni

Angalia Zote